Thursday, February 07, 2008

Karamagi Naye Ajiuzulu


Jioni saa 11.45 Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi naye ametangaza kujiuzulu. Tayari ameshamuandikia Rais Jakaya Kikwete kuomba kujiuzulu

No comments:

Post a Comment