Thursday, February 07, 2008

Nyerere alisema: Nenda Baba Lowassa


Mwalimu Julius Nyerere alitueleza mwaka 1995 kuwa Edward Lowassa hakuwa msafi. Hata mimi nilikuwa naamini kuwa hakuwa msafi. Sasa imedhihirika. Picha hii inamuonyesha akiondoka bungeni kumalizia enzi zake kisiasa. (Picha ya Edwin Mjwahuzi)

No comments:

Post a Comment