Sunday, November 04, 2007

Jibu Lako Hili Hapa

Mdau Bosco wa Dodoma kaniuliza juu ya tofauti za vyeo vya POLISI na JWTZ, nimemtumia majibu lakini nikaweka na hapa kwa faida ya wengi. Polisi siku hizo wamebadili mfumo wa vyeo vyao ili vifanane na vya JWTZ. Hivyo Mwema yuko sawa na Luteni Jenerali.

Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange


Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Said Mwema (cheo kipya-kulia) na Mnadhim Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Shimbo

IGP Mwema ndani ya cheo cha zamani.

No comments:

Post a Comment