Monday, November 05, 2007

WASIOMPENDA JK CCM NI WATANO


Alipochaguliwa kwa mara ya kwanza kurithi mikoba ya Benjamin Mkapa katika nafasi ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete alipata kura zote za ndiyo isipokuwa MOJA tu. Lakini uchaguzi kama huo ulipofanyika tena jana, wasiompenda WANNE waliongezeka. Alipata kura za hapana TANO. Alipata 99.75%

No comments:

Post a Comment