Sunday, November 04, 2007

CCM yajivua magamba, Itakuwa mpya?


Picha hii iliyopigwa na Mzee wa Sumo inawaonyesha wazito wa Chgama Cha Mapinduzi (CCM) wakielekea kwenye ukumbi wa Kizota mjini Dodoma tayari kwa Mkutano wao Mkuu. Katika Mkutano huo, watapanga safu zao, lakini cha kujiuliza ni je, CCM itakuwa mpya?

No comments:

Post a Comment