Wednesday, October 24, 2007

Yanga Mbendembende


Simba imeendelea kuionyesha umwamba Yanga baada ya kuitandika 1-0 lililofungwa na Ulimboka Mwakingwe, kama unavyoona akikata mbuga katika Uwanja wa Jamhuri Morogoro jana

No comments:

Post a Comment