Wednesday, October 24, 2007

Breaking News...


Salome Mbatia afariki dunia

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Salome Mbatia amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea jana mkoani Iringa, alipokuwa akitoka katika kampeni za Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM. .Tazama Maelezo yake hapa

No comments:

Post a Comment