Wednesday, October 24, 2007

Silaha ya mnyonge...

Methali nyingi zilitungwa zamani za kale. Baadhi ya methali hizo zimeanza kuchuja na kupoteza maana, kulingana na mabadiliko ya wakati. Ajabu ni kwamb,a hatusikii methali mpya zikitungwa sasa. Leo nitazungumzia moja tu: Silaha ya Nyonge ni Umoja. Umoja kweli ni silaha, lakini si ya mnyonge tu, hata matajiri wanaungana ili kunyonya vizuri mnyonge. Lakini hapa kwetu wanyonge wamebuni silaha nyingine, na hivyo methAli inatakiwa kusomeka kama ifuatavyo: SILAHA YA MNYONGE NI KUZOMEA.

No comments:

Post a Comment