Tuesday, October 23, 2007

Watani wa Jadi Wana Kesho


Watani wa Jadi, Yanga na Simba za Dar es Salaam, kesho Jumatano watakuwa na mpambano mkali mjini Morogoro katika Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. Tungoje tuone/tusikie.

No comments:

Post a Comment