Tuesday, July 10, 2007

Swali la Leo

Mwenye picha hii anafikiri kitu gani?

5 comments:

Anonymous said...

siku nyingi kamaradi. asante kwa kurdi jukwaani

Mzee wa Sumo said...

Huyo anamfikiria binti aliyekuwa amekaa jirani nae! Anaonesha hali ya uzalendo kwa nchi lakini mawazo yako nje!

Rama Msangi said...

aisee, nadhani anawaza hicho kitambi mbona kinakuja kwa kasi ya ajabu sana?

Vempin Media Tanzania said...

Mzeehapa ninaweza kusema kuwa unafikiria mammbo makuu matatu, kwanza ni namna ambavyo utarejea kijijini kwetu huku, pili laga na tatu ni yule demu wako anayekusumbua saaana. hahahahahahaha>

Ansbert Ngurumo said...

Reginald,

Huyu mtu anafanana na wewe, isipokuwa tofauti moja. Yeye ni mnene kuliko wewe! Nadhani anawaza kwa nini mnafanana! teh! teh!

Post a Comment