Serikali iliweka ushuru wa 4% kwenye mafuta ya taa, wabunge 'wote' wakaja juu. Serikali uhamishia ushuru huo kwenye dizeli na petroli, wabunge wakanyamaza na kupitisha bajeti. Hivi nani aliwapumbaza watunga wakashindwa kuona kwamba bei ya mafuta ya taa itabaki pale pale kwa kuwa bei imeongezwa kwenye mafuta yanayosafirisha mafuta ya taa? -RSM-
No comments:
Post a Comment