"Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber."-Plato
siku nyingi kamaradi. asante kwa kurdi jukwaani
Huyo anamfikiria binti aliyekuwa amekaa jirani nae! Anaonesha hali ya uzalendo kwa nchi lakini mawazo yako nje!
aisee, nadhani anawaza hicho kitambi mbona kinakuja kwa kasi ya ajabu sana?
Mzeehapa ninaweza kusema kuwa unafikiria mammbo makuu matatu, kwanza ni namna ambavyo utarejea kijijini kwetu huku, pili laga na tatu ni yule demu wako anayekusumbua saaana. hahahahahahaha>
Reginald,Huyu mtu anafanana na wewe, isipokuwa tofauti moja. Yeye ni mnene kuliko wewe! Nadhani anawaza kwa nini mnafanana! teh! teh!
5 comments:
siku nyingi kamaradi. asante kwa kurdi jukwaani
Huyo anamfikiria binti aliyekuwa amekaa jirani nae! Anaonesha hali ya uzalendo kwa nchi lakini mawazo yako nje!
aisee, nadhani anawaza hicho kitambi mbona kinakuja kwa kasi ya ajabu sana?
Mzeehapa ninaweza kusema kuwa unafikiria mammbo makuu matatu, kwanza ni namna ambavyo utarejea kijijini kwetu huku, pili laga na tatu ni yule demu wako anayekusumbua saaana. hahahahahahaha>
Reginald,
Huyu mtu anafanana na wewe, isipokuwa tofauti moja. Yeye ni mnene kuliko wewe! Nadhani anawaza kwa nini mnafanana! teh! teh!
Post a Comment