Monday, March 27, 2006

Mwenye Kiduka Huyu Hapa

Jeff Msangi aliuliza swali, Kiduka hiki cha nani?, wengi wamekipitia na mwenye Kiduka akajitokeza. Nimefanikiwa kupata sura yake na kujibu swali, Mwenye kiduka, Luka, ni huyu hapa (Kulia).

5 comments:

Boniphace Makene said...

Miruko huyu Luka ni lulu kwelikweli na sijui kwa nini alijificha au ni uvivu wa sisi kumtafuta. Hapa naandika nikapata ngoma kutoka kwake lakini suala la muziki wa Bongo Fleva katika redio yake muhimu kuliko haya mangoma ya majuu tu. Safi sana Luka na DJ g12.

Jeff Msangi said...

Miruko sikuwezi..unakwenda kwa kasi ya umeme katika kutafuta habari na kutafiti mambo.Dunia ya leo inataka watu kama wewe.

ndesanjo said...

nami natazama picha ya Luka huku nikisikiliza midundo ya nyumbani. Tumpe pongezi kwa kiduka chetu hiki.

Anonymous said...

Bongo fleva yapatikana bonyeza hapa.

Kigenge.

Luca said...

Bongo Flava sasa hivi zinapatikana hapa bongo5.com


Asante kwa support yenu.

Luca
Kiduka.com
Bongo5.com

Post a Comment