Monday, March 27, 2006

Huyo naye mpya

Kutoka kwa Makene, Kasri la mwanazuoni, nikutana na mwanablogu mpya, Yahya Charahani, nilimfahamu muda mrefu, nimefurahi sana kumkuta katika dunia hii ya magazeti tando. Mpitieni muone mambo yake.

1 comment:

Habari Hub said...

Nashukuru muzee wa Dodoma nimefurahi sana nami kuingia katika anga hizi maana nilikuwa nikona tu mara Miruko mara Kasri la Mwanazuo mara nani sijui sikupata kujua kama kuna mambo mengi namna hii kwenye mtandao nami nimekaribia na bila shaka tutakuwa tukibadilishana mawazo kwa kadri inavyowezekana.

Mambo mengine vipi naona jiii. Dodoma imekupenda sana muzee huraa tutazidi kuwasiliana mtandaoni.

Post a Comment