Thursday, July 07, 2005

Hawa ndio 'wakubwa' wakuu ya mataifa 8 tajiri duniani

Unawaona wazee hawa? ndio wanaoongoza mataifa manane (G8) ambayo ni matajiri duniani.
Picha hii ya AFP inawaelezea hivi: Britain's Queen Elizabeth II poses for the family photo with G8 leaders, (left to right) US President Bush, Britain's Prince Philip, French President Chirac, Queen Elizabeth II, British Prime Minister Tony Blair, RussianPresident Vladimir Putin, back row (left to right), European Commission president Jose Manuel Barroso, Italian Prime Minister Berlusconi, German Chancellor Gerhard Schroder, Japanese Prime Minister Junichiro Koizumi and Canadian Prime Minister Paul Martin, before a dinner at Gleneagles during the G8 Summit.

Mkutano huo ambao ulitarajia kutoa kauli juu ya kusamehe madeni ya Afrika unapingwa na watu mbalimbali duniani kutokana na sera za mataifa hayo. Wengi wameandamana katika nchi ya Scotland kupinga mataifa hayo,polisi walikuwa na kazi ya ziada kama inavyoonekana hapa:Polisi

1 comment:

Anonymous said...

Nimekuwa nikitaka kuwa wa ndugu mkubwa wa ILLUMINATI kama nilikuwa na hamu kubwa ya utajiri na umaarufu na kwa jitihada zangu nimeingia katika baadhi ya mikono isiyofaa kunidai kunisaidia kupata punguzo la uanachama na nimepata maradhi ya fedha yangu. Hivi karibuni nimepata ajira ya haki na wajumbe kwenye illuminatiworldofriches6666 @ gmail. com au +2349034745112

Post a Comment