Ndivyo maadili ya Uandishi wa Habari yanavyoelekeza. Kama umeahidi kukilinda chanzo cha habari, ni lazima kukilinda hata kama kwa kukatwa kichwa. Hayo ndiyo yaliyompata Judy Miller (Pichani), mwandishi wa New York Times. Amepelekwa jela miezi minne baada ya kukataa katakata kutaja chanzo cha habari yake juu ya serikali ya Marekani.
Hata hivyo Miller hakujuatia uamuzi wake wa kutekeleza maadili na kwenda jela, alimwambia Jaji Thomas Hogan maneno haya:
"I do not view myself as above the law," Miller told Hogan. "You are right to send me to prison."
But she said she had an obligation to protect a confidential source: "I do not make confidentiality pledges lightly, but when I do I must honor them." Habari hii inawafundisha nini waandishi wa hapa kwetu Tanzania na duniani kote? Soma habari kamili hapa
No comments:
Post a Comment