Thursday, July 21, 2005

Eti Waandishi wa Habari Tanzania wanafanya mapenzi na Serikali

Gazeti .aarufu nchini Kenya, The Standard Toleo la Julai 10, 2005 lilichapisha Makala moja juu ya utendaji wa vyombo vya habari Tanzania. Waliolisoma wamekuwa na maoni Tofauti, baadhi wakidai ni makala ya matusi na wengine wakisema ni sahihi. ISOME HAPA. Lakini pamoja na mengi ya kweli ndani ya makala hiyo, binafsi sikubaliani na maneno haya:"Tanzania is perhaps the only country in the region with four sports dailies and no less than seven titles that thrive on sheer pornography"

2 comments:

Indya Nkya said...

Kwa nini hukubaliani na unachokipinga? Sisemi nakubaliana nao ila nadhani huu uchambuzi uwe changamoto kwa waandishi. Cha msingi ni nyie waandishi: "to come out with effective counterargument on that issue". Jadili, wape takwimu kubali yale ambayo yako sahihi kataa ambayo ni uzushi kwa kutoa vielelezo.

Ndesanjo Macha said...

Mimi hii makala nimeipenda. Sioni kama kuna matusi bali jamaa katoa hoja na vipengele kadhaa kuunga mkono hoja zake.

Post a Comment