SITAKI ubunge. Ni ajabu na kweli wabunge wa Tanzania wanakufa sana. Katika Bunge la Awamu ya Nne litakalovunjwa mwishoni mwa Julai, wabunge saba wameshatutoka kwa sababu mbalimbali.
Soma hapa upate kwa nini wanakufa. Zipo sababu na namna mbalimbali wanavyokufa wabunge wetu,
Bofya hapa uone 'Comrade' Kapteni Kasapira alivyohitimisha maisha na ubunge wake.
Cheki hapa kuna Mwalyego alivyotutoka na juzi tu,
Margareth Bwana naye akafuatia, soma hapa habari zake.
No comments:
Post a Comment