Monday, June 27, 2005

Dawa za Kulevya TZ sasa Balaa

HAPA Dodoma, ndipo penye Hospitali ya Rufaa ya vichaa Tanzania, Mirembe. Nimebahatika kuingia akatika hospitali hiyo na kuona mambo yanayojiri. Wapo wehu wa kurithi na wehu wa kujitakia. Wale waliojitakia ni pamoja na wanaotumia dawa za kulevya. Kadri wabugiaji wa dawa hizo ' wabwia unga' wanavyozitumia ndivyo zinavyowakolea na kupata ukichaa. Ndani ya Mirembe wapo wengi wa namna hiyo. Agali takwimu hizo za gazeti la Daily News
"Between between 1997 and last year over 3,000 kilogrammes of heroine and cocaine was intercepted at various points in Tanzania and 2,810 traffickers convicted.
Over two million kilogrammes of bang were confiscated over the same period, with 37,264 suspected peddlers arrested
.

No comments:

Post a Comment