Saturday, June 25, 2005

Njaa nayo Noma Sana

Njaa Kali Usicheze na njaa hata kidogo. Mwenye njaa anaweza kula chochote ili mradi atulize tatizo lake. Baada ya kumuona mtoto huyu akila vitu vya ajabu, nmeapa kuwa sitatupa chakula, nitamsadia yeyote mwenye njaa. Adui mwombee njaa.

No comments:

Post a Comment