Sunday, June 19, 2005

'Time is Money' Wakati Ukuta Mlioutumia vibaya mtajiju

Waliokuwa wanategemea kuishi kwa mgongo wa serikali inayomaliza ya Awamu ya Tatu inayomaliza muda wake, MTAJIJU. Jua Limekuchwa

Muda nao umewatupa mkono. Kama wewe ni mbunge na ulikuwa hujajiandaa jimboni, saa hii itaonekana inazunguka kwa kasi kama feni. Upo hapo? Kila la Kheri, ndimi wako katika kampeni-RSM-Time is Over

No comments:

Post a Comment