Monday, June 20, 2005

Maarifa zaidi yapatikana

Usicheze na wakati ndugu, tembelea ukurasa wangu wa maarifa hapo chini ufaidike. Vinginevyo kalagabao!

1 comment:

Anonymous said...

habari zenu, mimi nawatakia watz wanaopenda kucheza green card ya kwenda usa watumie site hii http://www.dvlottery.state.gov/
wapige passpoti size yeneye ukubwa wa 300 kwa 300 na background iwe nyeupe ili kupata uhalisi jinsi pic inatakiwa ingia hapa http://www.dvlottery.state.gov/photo.aspx
unapiga pic yako halafu una scan una save.application hii hapa http://www.dvlottery.state.gov/application.aspx
ujaze ukimaliza hapo kwenye pic utabrouse upate fail lenye picha yako halafu malizia kujibu mwisho kama umefanikiwa vizuri itakupa success hapo poa. nawatakia bahati njema ya kwenda kiwanja.

Post a Comment