Saturday, June 25, 2005

Kiu Mbaya sana Jamani

Ukosefu wa maji Unayaona maajabu haya? Eti mtoto huyo aliye katika shida kubwa ya maji ya kunywa ameamua 'kusaka maji' kwa njia hii. Baada ya kuona picha hii, unaweza kumyima mtu maji tena?

3 comments:

mwandani said...

kwani maji yanapatikana huko?

Mkina said...

Umejuaje kwamba anatafuta maji, je kama hiyo ndiyo njia yake ya ukata kiu nyingine? Kazi kwako,

Anonymous said...

picha kali kweli

Post a Comment