Monday, January 10, 2005

Tanzania iige Zimbabwe, Ardhi ya Wazalendo

Tanzania ni nchi ya Watanzania. Hapa simaanishi kuwa wageni wasije. La hasha. Wageni waje na fedha zije, lakini wasinunue hata ubuyu. Waje wawekeze fedha walizonazo wasijiwezeshe mifukoni na kuwaacha wazalendo wakiokota makopo. Hasa wale wakulima wakubwa wanaowekeza kwenye ardhi, wasiwe makabaila wa kupora ardhi ya walalahohi kama kule Zimbabwe.

No comments:

Post a Comment