Monday, January 10, 2005

Nchi wameitafutya kama mchwa, wajukuu zetu wananyonya nini?

Nchi wameitafuna kama mchwa, wajukuu zetu wananyonya nini? Ebu jamani angalia mambo yanavyokwenda hata Tanzania, nchi ambayo haikuwa na makabila wakubwa, wanaomilikik ardhi, lakini tunapokwenda wanaanza kuingia kama makala hii inavyoonyesha, na matokeo yake itakuwa kama Zimbabwe.

No comments:

Post a Comment