Wednesday, January 09, 2013

Utata mauaji ya Mwandishi

Issa Ngumba
NI utata mtupu. Wauaji wa mwandishi wa habari wa Redio Kwizera, Issa Ngumba (45) hawakuwa na shida na fedha, simu wala kitu kingine. 
Wao walihitaji tu roho yake. Hata roho yenyewe hawakuipata, imerudi kwa muumba wake. Mbali na kumnyonga shingo, wauaji hawa walipiga risasi, kisha bastola iliyotumika wakaiacha katika sehemu ya mauaji kana kwamba ilikuwa rasmi kwa kazi hiyo pekee. Habari Kamili

No comments:

Post a Comment