Saturday, January 12, 2013

Umetoa Maoni Katiba Mpya?

Usisubiri kulalamikia maoni ya watu wengine kwenye Katiba Mpya. Bado una fursa ya kutoa maoni yako, ingawa kwa sasa Tume ya Mabadiliko ya Katiba inasikiliza maoni ya makundi maalum.
Unaweza kutembelea tovuti ya  Tume, www.katiba.go.tz kwa maelezo zaidi. 
Au tuma moja kwa moja hapa; 
Wanaoishi ndani ya nchi
Wanaoishi nje ya nchi
Pia unaweza kutumia simu: 0774/0767/0715/0787-081508; 
Baruapepe: maoni@katiba.go.tz
Box 1681 Dsm au 2775, ZnZ;  
Au facebook page ya TumeNo comments:

Post a Comment