Tuesday, January 08, 2013

Bavicha Yawatimua Wasaliti

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) ya limemvua uanachama Makamu Mwenyekiti wa Bavicha, Juliana Shonza (pichani) na wenzake wawili. Barua hii ya kufukuzwa vijana hao inadai kuwa amekuwa akishirikiana na viongozi wa CCM kusaliti chama na kutukana viongozi. TAARIFA KAMILI.

Hata hivyo, Juliana Shonza bado anadai kuwa yeye bado ni kigogo wa baraza hilo kama anavyoeleza kwenye Taarifa yake, huku akiendelea kumwaga tuhuma dhidi ya viongozi wa Chadema.

No comments:

Post a Comment