Tuesday, January 15, 2013

Lenga mbali kijana

Kijana wangu Edgar Miruko akitazama mbaaaliiii kwenye safari yake ya kutafuta elimu. Safari hii ilianza wiki iliyopita alipokanyaga shule kwa mara ya kwanza akiwa darasa linalojulikana kama Baby Class.

No comments:

Post a Comment