Wednesday, January 30, 2013

Magereza bye bye...Mungu akipenda

Msanii Elizabethy Michael (Lulu) akishuka kutoka kwenye gari la magereza, kwenda kushughulikia dhamana yake aliyopewa na Mahakama Kuu. Baada ya kukamilisha hatua hii aliondoka mahakamani kwa gari binasfi Tazama mapicha hapa kujumuika na familia yake, huku akiendelea na hatua ya usikilizaji wa shauri la kuua bila kukusudia linalomkabiri.
Lulu alidhaminiwa na watumishi wawili wa Serikali waliosaini bondi ya Sh milioni 20 kila mmoja; amesalimisha hati ya kusafiria, haruhusiwi kutoka nje ya Dar es Salaam bila ruhusa ya mahakama na anatakiwa kuripoti kwa msajili wa mahakama kila mwezi.
Kesi inayomkabili ni ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii mwenzake, marehemu Steven Kanumba. Taarifa za awali

No comments:

Post a Comment