Friday, December 21, 2012

Lulu sasa aweza kuomba dhamana


Taarifa zilivuma kutoka mahakamani kuwa Msanii Elizabeth Michael (Lulu) ameachiwa kwa dhamana Ijumaa iliyopita, ikiwa ni siku chache baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka kumbadilishia mashtaka kutoka Mauaji kuwa Kuua bila kukusudia (ambayo yanadhaminika), kumbe haikuwa kweli bali zilikuwa ni hisia za wazushi kwa kuwa sasa kuna uwezekano wa kudhaminiwa. Siku hiyo alisomewa maelezo ya mashtaka kama inavyojieleza hapa: Habari Leo

No comments:

Post a Comment