Monday, October 24, 2011

GADDAFI: nyuma ya pazia

Baada ya kifo cha Muamar Gaddafi kuuawa kikatili mambo mengi yaliyokuwa nyuma ya pazia yamenza kufahamika. Picha zaidi zimendelea kurushwa mitandanoni na imefahamika kuwa pamoja naye, wafuasi wake watiifu pia waliuawa.
Isome Hapa

Binti wa Gaddafi: Nilipiga simu ya baba, ikapokewa na waasi, hawa ndio walimuua
Mjane: Umoja wa matifa ufanye uchunguzi wa mauaji haya ya mume wangu

Aliipenda mno famili yake

Hii ndiyo bastola yake ya dhahabu, haikumsaidia

Alikamatwa akiwa hai. Hapa anacheki damu zilizochuruzika alipoburuzwa kutoka mtaroni

Mwisho wa yote alilazwa kama Jonas Savimbi, wapiga picha wakafanya mambo yao.

No comments:

Post a Comment