Tuesday, September 20, 2011

Umeme wa katani umeanzia Tanzania!

First in the world: Hili ni eneo la mtambo wa kuzalisha umeme unaotumia gesi inayotokana na mabaki ya mkonge katika kiwanda cha Katani Limited, Hale mkoani Tanga. Kiwanda hiki kinazlaisha umeme unaotosha kuendesha mitambo yake na matumizi ya kawaida katika nyumba za wafanyakazi.

Wafanyakazi wakiondoa nyuzi nyuzi za mwisho za katani ili kukubakiza mabaki yanayotumika kutengeneza 'biogas'.

Katani ikichambuliwa wakati wa uzalishaji wake

Mkonge ukiingizwa kwenye mtambo

Matanki ya gesi, inayotumika kuzalisha umeme kiwandani

No comments:

Post a Comment