Thursday, August 18, 2011

Hongera Simba SC kutwaa Ngao ya Jamii

Simba SC jana iliilamba Yanga bao 2-0 na kutwaa ngao ya jamii. Nawapongeza sana. Habari kutoka Bungeni, Spika wa Bunge, Bi. Anne Makinda ameruhusu nao waende bungeni kama ilivyofanyika kwa yanga kama wanapenda...Alikuwa anajibu 'mwongozo wa Spika' uliotolewa na Radio Clauds FM katika kipindi chake cha Power Breakfast.

No comments:

Post a Comment