Tuesday, June 28, 2011

Nabadili Nembo ya Taifa

Sina sababu za msingi, lakini nimeamua rasmi kuanzia leo kubadili nembo ya taifa langu kuwa hii kwenye picha ili kukabiliana na hali halisi. Inawezekana wengi hamtataka, lakini habari ndiyo hiyo! Asanteni kwa kunisoma. Usiku mwema.

No comments:

Post a Comment