Monday, June 20, 2011

Kumbe Arusha ilikuwa rahisi hivi!

Meya wa Arusha,Gaudence Lyimo (katikati-CCM) akishikana mikono na Naibu
Meya mpya, Estomih Malah (Kushoto-CHADEMA), kama ishara ya kupatana, baada ya makubaliano ya kufikiwa katika Kikao Maalumu cha Baraza la Madiwani kilichofanyika leo. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha, Estomih Changa'h.

Meya
Gaundence Lyimo CCM
Naibu Meya
Estomih Malah CHADEMA alipata kura 22 kati ya 25.
2 za HAPANA na Moja iliharibika

Kamati
Kamati ya Uchumi na Elimu: Bayo-CHADEMA
Kamati ya Fedha: Lyimo- TLP

No comments:

Post a Comment