Happy Birthday TANU
Rais Jakaya Kikwete akisalimia wafuasi wa CCM waliokusanyika kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya chama Lumumba, mahali ilipozaliwa TANU tarehe 7/7/1954. TANU ilikufa rasmi mwaka 1977 ilipoungana na Afro Shiraz Party (ASP) kuunda CCM. Je, kuna tija kuadhimisha birthday ya chama kilichokwisha kufa? Kama ndio, mbona siku ya Uhuru Desemba 9, kila mwaka tunasema Siku ya Uhusu wa Tanzania Bara badala ya Tanganyika?
No comments:
Post a Comment