Miaka mitatu iliyopita
Ilikuwa tarehe kama ya leo 10.5.2008. Tukio hili la kufa mbuzi lilifanyika na kushuhudiwa na watu kibao, pale Land Mark, River Side, Ubungo. Leo miaka mitatu imetimia kama utani vile! Tuombeane uzima maana bado miaka 47 kufikia Jubilee ya Dhahabu
No comments:
Post a Comment