Sunday, April 03, 2011

Maana ya Tabata Kisiwani

Dar ndio jiji kuu, lakini mafuriko kila kona. Miundombinu mibovu na matajiri kuziba njia za maji. Hakuna wa kuwakeme wala kuchukua hatua. Mwendo mdundo mambo holela. Hapa ni eneo la Tabata Kisiwani, ambao mwishoni mwa wiki walilazimika kusimamisha shughuli zao kutokana na ugeni ya maji hadi kwenye nyumba zao, na kwenye baa.
Ba maarufu ya Ndafu (mbele na nyuma)

No comments:

Post a Comment