Monday, April 04, 2011

Kila nafsi hai itaonja kikombe!


Picha ya kushoto: Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu) Steven Wassira na Mbunge wa Musoma vijijini Nimrod Mkono wakinywa dawa kwa mchungaji Ambilikile Mwasapila katika kijiji cha Samunge, Loliondo wilaya ya Ngorongoro. Kulia ni Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli.

No comments:

Post a Comment