Monday, March 21, 2011

Mambo yawa mambo kwa Gaddafi

Rais Muammar Gaddafi wa Libya mambo yanazidi kumwendea kombo baada ya majeshi ya Marekani na washirika wake kushambulia makazi yake. Haijulikani alipo. Soma zaidi>>>>

Haya ni baadhi ya madude yanayofanya kazi kule Libya. Inasemekana mtoto wa Gaddafi, Khamis, amekufa kwenye ajali ya ndege iko hapa. Hata hivyo, washambuliaji hao wa magharibi wanasema lengo lao si kumuua Gaddafi>>>Habari Kamili

Moja ya amashambulizi. Ni ya kushutukiza na nchi za magharibi zinasema hayatachukua muda

Haya ndiyo madege yao. Je, mwisho wa Gaddafi ni kama Saddam Hussein? Tusubiri tu muda.

1 comment:

emu-three said...

Haya hatimaye ukweli unadhihiri kuwa sio `wananchi wachache tu waliokuwa na lengo hilo, kulikuwa na kitu nyuma ya pazia...`nendeni tupo nyuma yenu..'

Post a Comment