Tuesday, March 08, 2011

Dawa Loliondo kwa kila kiumbe!

Mgonjwa akiwahishwa

Kila mwenye kuamini anapata anachostahili

Maelefu wako kwenye msafara wakiwa na matumaini ya kwenda kwa Babu kupata dozi

1 comment:

emu-three said...

Mkuu na wewe ulibahatika kuionja hiyo dawa? Yaani hata kujua ladha yake ikoje. Na je inatibu magonjwa yote? Imani, na kweli kila aiminiye atakunywa hiyo dawa, na imani huponya!

Post a Comment