Tuesday, March 08, 2011

Du! Simba hadi Mbagala!

Simba akiwa ndani ya gari la polisi lenye namba PT 2068 Landrover Diffender mara baada ya kuuawa na polisi eneo la Mbagala Kimbangulile Jumapili.

Askari Ismael Abdul mwenye bunduki aina ya G3 iliyotumika kummaliza simba aliyevamia eneo la Mbagala Kimbangulile Dar es Salaam Jumapili alfajiri.

2 comments:

emu-three said...

llikuwa kizaa-zaa, we fikiria tumetokea kwenye mabomu, halafu sasa simba, unafikiri kwanini. Nchi imegeuka giza, sasa simba haoni tofauti ya porini na uraiani...giza totorooo

Ifa Fernandes said...

- Obat Pembesar Penis
- Vagina Pantat Nungging
- Pemutih Muka
- Magic Plus White Cream
- Pemutih Muka
- Cara Memutihkan Muka

Post a Comment