Wednesday, February 02, 2011

Siasa ni mchezo si uadui

Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wenyeviti hawa wa CCM na CHADEMA, Rais Jakaya Kikwete na Freeman Mbowe walipokutaja leo kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria Dar es salaam.

1 comment:

emu-three said...

Kweli siasa ni mchezo, lakini wenginewanaufanya uwe mchezo mchafu...mwisho wa siku wenzenu wanakwenda kula na kustarehe nyie mnauguza madonda kama sio kilio cha msiba wa ndugu yenu aliyepigwa risasi

Post a Comment