Wednesday, January 26, 2011

Matokeo Form IV Haya Hapa

www.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/olevel.htm

Wasichana watisha, wachukua nafasi nane kati ya 10. Nambari one hadi sita ni mabinti. Shule 10 bora 8 za binafsi, za serikali mbili Ilboru na Moshi tech zilizoshika nafasi za 7 na 8. Nyingine ni Marian Girls, Pwani (nafasi 3 katika 10 bora, zikiwamo moja na mbili), St. Francis, Mbeya nafasi tatu; St. Mary Goreth (nafasi moja) na Barbro Johanson (DSM) nagasi moja.

1 comment:

emu-three said...

Hiyo ipo dhahiri hutegemei kupanda mahindi kwenye mawe ukataraji kuvuna...twashkuru shule za kata, lakini muhimu walimu na vitendea kazi. ...

Post a Comment