Kama si 'option' ya ama kwenda jela au kulipa faini, Mzee wa vijisenti angekuwa anaanza maisha mapya ya jela. Lakini, bahati yake ni hukumu ya leo yenye chaguo, iliyomwezesha kulipa faini ya sh 700,000 na hivyo kuepuka kifungo cha miaka mitatu jela.
Ilikuwa ni katika kesi yake ya kuendesha gari lisilo na bima, bila tahadhari, na kusababisha vifo vya watu wawili.
1 comment:
Anachekelea tu. Haki i wapi? Watu wawili walikufa kwa uzembe wake leo anaachwa kwa kulipa faini laki saba. Ukiuliza unajibiwa huo ndio utawala wa sheria. Kweli?
Post a Comment