Monday, December 27, 2010

Mohamed Othman Chande Jaji Mkuu


Na Grace Michael

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania kushika nafasi inayoachwa wazi na Jaji Augustino Ramadhan anayestaafu.

Jaji Ramadhan anastafu kwa mujibu wa sheria kuanzia leo na nafasi yake inachukuliwa na Jaji Othman ambapo anatarajiwa kuapishwa leo katika viwanja vya ikulu. Endelea

No comments:

Post a Comment