Sunday, December 26, 2010

Mtoto wa nyoka ni chatu

Furaha hii ya Edgar Reginald kushika kamera, yaweza kuwa dalili ya maji kufuata mkondo?

2 comments:

Anonymous said...

inawezekana maji ya kafuata mkondo na huyo bwana mdogo akawa mwandishi na msema kweli kama baba yake, lakini tukumbuke hapa kuna mikondo mingi, baadaye anaweza kuchagua na kufuata nyayo za mama yake au akawa mwana sayansi.

Rashid Mkwinda said...

MBONA ANAIOGOPA KAMA AMESHIKISHWA VILE,ILI KUJUA TALENT ZA WATOTO WAACHIWE WAFANYE WENYEWE HUKU WAKIANGALIWA MWELEKEO WAO NINI WANAPENDELEA ZAIDI KAMA VILE KUFINYANGA MAGARI,KUFUMA VITAMBAA,KUCHORA NK,UKIONA MUELEKEO WA MTOTO UKO NAMNA FULANI ENDELEZA HUKO HUKO ILI KUENDELEZA KIPAJI CHAKE,C KAMA HIVI KWA HUYU MWANAO

Post a Comment