Monday, December 20, 2010

CHADEMA 'watia nanga' Mlima Kilimanjaro

Madaraka anasema: "Siku mbili zilizopita, nikielekea kilele cha Mlima Kilimanjaro, katika kambi ya Barafu, ambayo ni kituo cha mwisho kabla ya safari ya kufika kilele cha Uhuru niliona bendera ya CHADEMA ikipepea".

No comments:

Post a Comment