Monday, November 08, 2010

TATHIMINI YA CHADEMA

Jamii forums wametoa taarifa hii inayosubiriwa na wengi. Kama ni ya kweli, CHADEMA wametegeua kitendawili cha uchaguzi na kutoa tathmini inayoonesha kuwa mgombea Urais wa CCM, Rais Jakaya Kikwete alishinda kweli, lakini kwa tofauti ndogo sana ya kura kati yake na Dkt. Willibrod Slaa. Isome Hapa

No comments:

Post a Comment